Rappa bora wa kike duniani amefunguka na kuonyesha hisia zake wazi angetamani kuwa mama siku moja lakini hiyo yote ni kwa heshima ya Beyonce, Nicky alisema,
''Seeing Beyone with her daughter and husband was so tender and it showed me it is possible to bean animal on stagr and a carring mother at the same time.''
Nicki mwenye umri miaka 31 ana muda mwingi ambao akiutumia sawasawa atafanikisha ndoto zake..
0 comments:
Post a Comment