Sunday, October 19, 2014


Wema Sepetu anatarajia kuachia filamu 10 kwa
mpigo sokoni !. 
....Kwa mujibu wa meneja wake
yaani Martin Kadinda akizungumza na Mtanzania
Wema anatarajia kuziachia filamu zake kwa mpigo


sokoni ambazo kuna mpya na alizotengeneza siku
za nyuma kidogo lakini
akashindwa kuziingiza sokoni kwa wakati kutokana
na sababu maalum ikwemo filamu ya Superstar
ambayo ilidaiwa kugharimu shilingi mil.60 na
ushee

0 comments:

Post a Comment