Rais wa Marekani, Barack Obama, ametoa kauli yake kuhusu mwanamume aliyeshikwa na wivu baada ya yeye kumbusu mpenzi wake kwenye mashavu.
alisema mwanamume, aliyetambuliwa na CNN kama Mike Jones.
Yote hayo yalitokea wakati Obama alipokuwa anapiga kura ya mapema katika jimbo la Illinois karibu na mwanamke aliyetajwa tu kama Aia Cooper.
alisema Rais Obama , huku akiendelea kupiga kura yake huku Copper akiangua kicheko.
Baadaye Copper aliyeonekana kushikwa na aibu aliomba radhi kwa niaba ya mpenzi wake.
Obama alionekana naye kashikwa na aibu na kusema kwa tabasamu kuwa
Baada ya maongezi ya muda mfupi kati ya Obama na Cooper, wawili hao walimaliza kupiga kura, na kamera ikaonyesha Obama akimbusu Cooper mashavuni na kumpa mpenzi wa Coopper sababu nyingine ya kuongea

Breaking news!!
ReplyDeleteJamii ya Watanzania waishio U.S.A imeendelea kupata majanga baada ya Professor Julius Nyang’oro, ambaye aliwahi kuandika kitabu cha maisha ya Raisi Jakaya Kikwete kuingia matatani. Habari kamili hapo chini
http://mobile.nytimes.com/2014/10/23/sports/university-of-north-carolina-investigation-reveals-shadow-curriculum-to-help-athletes.html?module=Search&mabReward=relbias%3Aw&_r=0&referrer