Sunday, October 12, 2014

Frida na Lavorn wakipata ukodak moment baada ya kufunga pingu za maisha siku ya Jumapili tarehe 21 September katika mji wa Takoma Park uliopo state ya Maryland USA
Frida na Lavorn katika pozi
Frida na Lavorn pamoja na wapambe wao katika picha ya pamoja

Kwa picha zaidi mtembelee IskaJoJo (www.iskajojostudios.com) Hapa

0 comments:

Post a Comment