Monday, October 20, 2014

Martin Kadinda wakati  akiwa na Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’.
Stori: Mayasa Mariwata
Imekaa poa sana! Ubuyu kutoka Hong Kong, China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline
Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani aliyefungwa nchini humo kwa msala wa kukamatwa na madawa ya kulevya. Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Isaac Sepetu zilidai kwamba katika safari yake nchini humo, alifuatana na Wema na Petit Man.PICHA ZAIDI>>.

0 comments:

Post a Comment