Tuesday, October 21, 2014

Polisi mkoani Arusha yamuua kwa risasi mtuhumiwa Namba Moja wa milipuko ya mabomu katika mikusanyiko jijini humo na umwagiaji watu tindikali baada ya kujaribu kutoroka akiwa njiani
kwenda kuonesha bomu alilokuwa amelificha maeneo ya Kondoa mkoani Dodoma.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment