Enzi za Sitti kabla ya kuwa Miss TZ
2014 (Graduation Party) Desemba 2013. Kwa mjibu wa Leseni na passport yake
(copy attached) Sitti alizaliwa tarehe 31 Mei, 1989. Mpaka mwaka jana kwenye
Graduation yake Sitti alikuwa na umri wa miaka 25. Ingia kwenye hii link kupata
tangazo la Graduation Party yake https://www.facebook.com/victorymediapro/posts/10152028658454871
na pia humu utapata picha zake za graduation akiwa na wazazi, ndugu pamoja la
marafiki zake http://www.vmpimages.com/Events/Sitti-Mtemvu-Graduation-Party/i-qPSHZM5.
Saturday, October 25, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)









mtoto mzungu
ReplyDelete