Wednesday, October 1, 2014



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi
Tanzania ( JWTZ ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30 , 2014 akitokea
Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa .

0 comments:

Post a Comment