Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu wakiwa kwenye mkutano kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma
Wajumbe wa Halmashauri Kuu wakiwa kwenye mkutano
MNEC wa Sengerema William Ngeleja akizungumza na Dk.Mary Mwanjelwa pamoja na Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Mwangi Rajab Kundya nje ya ofisi za CCM Makao Makuu Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha NEC.
MNEC wa Lindi Vijijini Said Mtanda akibadilishana mawazo na Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Shaibu Akwilombe nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.

.jpg)





0 comments:
Post a Comment