JK amteua Mkurugenzi mpya wa mashtaka (DPP)
Rais Kikwete amemteua Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi Mpya wa Mashtaka nchini (DPP). Kabla ya uteuzi wake, Biswalo alikuwa Mkurugenzi msaidizi katika ofisi hiyo ya mashtaka. Uteuzi umeanza rasmi ijumaa iliyopita.
Dr Eliezer Feleshi ndie alikuwa akishikilia wadhifa wa DPP kabla ya uteuzi huu wa DPP mpya kufanyika.
0 comments:
Post a Comment