Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya:
“Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa mambo mengi sana sababu wao wanashirikiana na kusapotiana katika mambo mengi sana na hata ukiskia wamepishana basi ujue
ni kwa ajili ya biashara tu na si vinginevyo!nilichogundua Mimi ni kwamba kumekua na makundi mbalimbali mitandaoni yanayokuza mambo na kusapoti wasanii kulumbana Mara team simba Mara team nyani!naingea kutoka.
Moyoni kuwa watanzania tunasifika kwa kuwa na amani na upendo!sasa iweje tena tuishi maisha ya kuchukiana na ugomvi badala ya kuishi kwa amani?najua sisi wasanii tuna mashabiki wengi. Na tunapenda na nnyie mnatupenda BOFYA KUSOMA ZAIDI>>>
0 comments:
Post a Comment