Thursday, October 2, 2014

Mtangazaji Gardner G. Habash ni miongoni mwa Watangazaji hodari ambao Tanzania imewahi kuwa nao ambapo alianza kwa kusikika kupitia CloudsFM kwenye shows mbalimbali ikiwemo Jahazi kabla ya kuanza kazi.Wakati huu ambapo kumekua na stori zilizoenea mtaani kuhusu yeye na ndoa yake pia kazi, show ya TV ya Mkasi inayoongozwa na mtangazaji Salama Jabir imepata nafasi Exclusive ya kuongea nae. Zifuatazo hapa chini ni baadhi ya sentensi alizoziongea Captain G kwenye Mkasi on EATV.

Kwanza alianza kwa kuongelea jinsi alivyoingia kufanya kazi Redioni hukuakimkumbuka Othman Njaidi aliemchukua na kumpeleka CloudsFM sio kama mtangazaji bali akajiunge na timu ya Marketing, akakutanishwa na Ruge Mutahaba aliekua General Manager wakati huo ambae alipoisikia tu lafudhi ya Gardner akasema huyu anafaa kuwa mtangazaji.ZINAENDELEA HAPA>>

0 comments:

Post a Comment