Msanii mkali wa Bongo Fleva @Nuh Mziwanda akiwa bebe wake pande za Dodoma kwenye ukumbi wa Mtei Lounge waliswa na Camera za Paparazi wetu aliyekuwa Maeneo hayo, Inasemekana Shilole alikuwa anaenda msalani na kumwomba kipenzi chake amsindikize baada ya kutoka huko walizama
Wednesday, October 15, 2014

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment