Wednesday, October 22, 2014

mazitooo ktk kwa Shishii
shilole na baby ake
Hahaaaa Shishi bebiee, kaamua kuwapa watu makavu, kusema za ukweli biinadam hawana jema mwenyewe shishi kapata kijana mwezie mnamsakama hana kadi lake la clinic jamani muacheniiii


  1. mi hadi nashaangaa hasaa!!! sasa shilole ana ukubwa gani asitoke na uyo mziwanda ama kuzaa mapema?sasa siku izi hivi vitoto vya 1990 kila mtu wanamwita mzee hadi nashangaa tena ati mtu ana 25 mzee sintah nae mzee lol sasa mama zenu wa 40-50 ni nani viajuza ama?? yani vitoto vya siku ivi vimevamia fani siku c zao hawajielewi kabisa wapeni nafasi na usichana wenu ndio awo kina mziwanda na msami na wengineo ndio hawajawaona nyie hamjui kuosha papuchi ndio wakafata wanaojielewa, ok bye

    Reply
    Replies
    1. We nae shilole. ..hata kujielezea hujui....tulia basi tutakutetea
    2. hahahaha mdau ata mi mwenyewe niliondika cjaelewa lol nilikua sijanywa chai lol nisamehe bure, ila nilikuwa namanisha hii tabia ya kuitana fulani kizee fulani kizee achilia iyo post ya shilole mfano charga bebi kuitwa mzee, sinta kuitwa mzee, wauzunguni kuitwa mzee wema, kajala nk hivi najiuliza wanawajua wazee hao mafundi wa kuita wenzao wazee na humu kwa sinta wamejaa tele!!
    3. hako katoto ka 1994 shilole 1986 ...jaman dah
    4. So what? Kama watu wanapendana , kuna tatizo kwani?!? Watu wanapenda ku judge mpaka basii
    5. NIMEMPENDAJE SHILOLE .MTOTO KWA MAMA YAKE BABUUU.
      UTOTO NI WAKE MCHEZO KITANDANI ANAUWEZA.
      WEWE MTOTO HAJAWAHI KUKATIKIWA,
      HAJAWAHI KUBURUZWA .
      KUCHUCHUMALIWA .
      YOTE ANAYAPATA KWA SHISHI BABY AFANYE NINI
    6. We mdau hapo juu mwongo mkubwa...huyo nusu ninesoma nae...hajazaliwa 94 jmn
  2. OOT mjini kuna raha walahi sitoki hehee juzi nimejionea ya Musa Niko kiwanja mahali nikakutana na friend wangu wa zamani tukasalimiana ghafla akaniaga alikuwa anamuwahi demu wake nikamwambia ani intruduce kwa demu wake dah kumbe demu wake mke wa mtu bwana hehee huyo demu kaolewa juzi juzi na jamaa mmoja famous sana anafanya voda jina lake linaanziwa na K.. Huwezi amini mume wa demu nae alikuwa the same kiwanja aki dj..na mkewe akiwa busy na boyfriend..mjini patamu jamani
    Reply
    Replies
    1. Don't tell me yule dada alivyo mpole, ila siwezi mlaumu aisee kwa umalaya wa mumewe unaweza jiuliza mtu kakubalije kuolewa pale kumbe wadada akili kichwani hela tu we chepuka huku mi nachepuka huku, Loh!!!!!!
    2. Mama weeee...usinambie shoga kama ndoa yao ishakuwa michepuko mchanganyiko. Jaman ndoa hz za siku hz mweee.
    3. mtuuumeee anyways sishangai maana mumewe kutwa seacliff na mademu na wazee juu mwanaume hachagui abagui dumedume yuleee kaaaaah
  3. ana nini naye????mxiiiiiiieeew kaona hiyoo couple yao haina kick ndo anaiboost loooh kwa lipi usemwe we baki na mwanao mpeane penzi hamna wa kukusemaaa bibi tuliza pele we mwenyewe paka la bar ushaaemaga unamchukuaa yoyote so hatushangai akwende zake hukooooooooo













    OOT...
    Jaman rio paul alipofikiaa sasa inasikitishaa lile kikundi chao sasa ni shiiiida hapa mjini kwan jaman tz imekuwaje ina ruhusu masho*a kiasi hichi manake sasa ni balaaaa rio na kikundi chenu jaman imekuwa kero na nyie wababa acheni bhas hayo mambo??yaan rio jana na kaenda kuremba yale mameno yake mxiiiiewww Mungu awalaaani kwa kweli
    Reply
    Replies
    1. Jamani sio kuremba, ile amewekewa ili meno yake yapangani vizuri na yasitokelezwe kwa mbele saaana. Ukiwekewa braces sio kitu cha starehe kina kera na ni uncofrotable sana maana wanakaza sana hiyo chuma na kuna vitu huruhusiwi kula au hata kunywa nadhani. Sidhani kama amefanya hiivyo kwa ajili ya urembo, na pia ni ghali sana kuweka.
    2. Ushamba kweli mzigo mfyuuuu kma hujui alizoweka kwenye meno uliza sio urembo ule.embu google braces basi
    3. Hivi kwani mwanya nao ni kilema eeh?mie najuaga ni urembo lakini sasa naona wenzetu wazungu mzu akiwa na mwanya tu anafanya braces!!!nahisi na mie nitaenda kuziba huu wangu!!
    4. Uwe unauliza eti karemba meno lol kama nakuona lilivokushuka! ! Hahahahah braces ain't fun at all.
  4. sintah tuwekeee huyo kuku mtamu riopaul watu waone hayo manjino yaake aliyoenda kuyaweka urembooo loooh mjalaaana ww mxiiiiewwww!na best ake ndale anatoka na ...... wa claudz
    Reply
    Replies
    1. Ule siurembo bali kwa watu wenye meno yaliyopinda yananyooshwa kwa kutumia njia hiyo. Mengine hayanihusu tuzidi kuwaweka kwenye sala zetu ili Mungu awape wepesi na kumludia Mungu na atuepushie vizazi vyetu
    2. Jamani noel anatembea na big boss wa mawingu? ? Jmn jmn jmn...hivi dunia hii inaenda wap jmn
    3. ehheeeeeeee mwaga basi ubuyu tumumunye kwa raha zetu...alafu kile kikundi chao wanavyojilegeza aiseeeee yaanii wazazi wao wakowapi hawa watoto??
  5. Hahahaha uwiiiiiii!!..makavu live, jamani c ulisema mko sawa, iweje tena, ila na sisi wanawake atupendani jamami loo, tunavyomegwa na vibabu ndio tunaona sawa??
    Reply
  6. Shilole nae atafute saiz yake nuh nae kakomaa lijitu lina 30 miaka yeye 22khaa hani hata aibu eti my baby baby atakuwa huyo..nuh weww mchune tu kama anavyo chuna bwana za watu eti mdogo kwa mama yake shilole huon hata aibu kumvulia nuh nguo maana kama mdogi wako..looh..unakomaa na jiji uku wa komaza watoti wa wenzio barnaba alikukimbia weww baada ya kujua mama zima..harafu manyimbo yako hata haya eleweki hujui kuimba shiloloe walazimisha tu sijui wanakuobea huruma ulee watoto..na huyo mwanao mkubwa bado kidogo ata anza kutombwa na nuh hahaha ngachoka mim mbutananga voice eti baba yao nuh ..huhuhuu.shilole anatombwa bado sana tu pole nuh jaman wwwe vikiletwa kula tu..duu komaza na watoto wa wenzio wakubwa wenzio huwaoni shishi zuwena..acha kuimba hujui.:
    Reply
    Replies
    1. wee mbona huoni haya kuvulia vibabu watu mmekalia kujaji watu tuuu apo ulipo huna hata future wala elimu watu waliokosa elimu utawajua kalia jungu jamani mtuache tunaodate serengeti kwa raha zetu wakati wako nao utafika tuone kama utaendelea kumegwa na vibabu...
    2. shosti unachuki hatari sipati picha unavyobonyeza batan kwa hasira na midole yako ka mizizi.
    3. Shosti we nenda tu kwa babu lako ukalichezeechezee lipate walau harufu ya mapenzi coz kusimamisha nako ni sheeder. Waache wenye vigezo wajilie vyao bibi wewe. Wakati wako ulishapita..either u mkibonge sana..umekomaa sura sana au unachuki na mjaa gubu..kijana gani atakutaka??waache wenye kujiamini waenjoy maisha yao. We vuta tu hilo domo na mishavu ya kona zote izidi kukulegea..utajijuuu!!
    4. Wivu utakumaliza ww niache na nuhu wang na we kaa na vibabu vyako
  7. Hihihihihihihiiiiii
    Reply
  8. Yani insta imekua ni social net ya kishenz sana. Kuna watu eajuaji balaaa. Yani wao na kina mama insta na baba insta,yanibwenginr ni insta translator. Wanajua ku translate kila mawazo ya mtu kuliko hata googlr. Hata mtu akiweka picha tuu wao wata translate
    Reply
  9. Hahahaha kweli kusuguliwa sabuni ya roho. Pesa tupa kuleee!
    Reply
  10. OT:Samahan wapenz mm nina ujauzito wa miez mi3 tatizo langu n tumbo kuniuma Mara kwa Mara esp asubuhi ile ninapoamka anaejua tiba o ushaur wowote tusaidiane jaman
    Reply
    Replies
    1. Ndomaana kukawa na hospital. ...nenda hospital mama...watu tunatofautiana, mwingne inaweza kuwa normal mwingne ikawa ni problem
    2. NADHANI HUJAANZA CLINIC,ANZA NA UWAELEZE HILO TATIZO,WAO WATAKUAMBIA UKAWAONE MADAKTARI BINGWA WA AKINA MAMA.
      POLE.
    3. jamani kwani apo kijijini kwenu hapana hospital mbona ivo!!! mwambie aliyekupa mimba akodishe baiskeli akupeleke zahanati mwanamwanne kuonana na daktari ni muhimu kozi kila mtu na anavojisikia jitahidi mwaya fastaa
    4. Si uende hospital au vipi?
    5. Naww punguza shortcut kamuone dokta..kitu gan lkn!!!
    6. We nawe uko serious kweli? Kwa hiyo mtu akikushauri dawa yoyoye utakunywa? Hebu nenda hosp ukaonane na dr wa wanawake acha uvivu wa kwenda kwa wataalam wa afya. Humu kuna mijitu imepinda wengine hawana vizaz watakushauri mara mimba choropooo cjui utamshtaki sinta? Pole sn nakushauri nenda hosp ukamuadithie dr
    7. Nunua BUKOL
    8. kwani unakaa wapi hata Dr wazamu hayupo? jitahidi kamuone mtaalamu wa afya
    9. Wewe mwenye ujauzito Wa miezi 3 ni Jullie macho mchepuko Wa rummy?maana nayeye Ana mimba miezi 3,siku hizi picha insta anapiga kiubavuubavu msione tumbo wachawi.
  11. viserengeti mpango mzima mi mwenyewe niliwahi kuwa nae niliyemzidi miaka mitano vinajua kutoa raha hivyo tofauti na watu wazima
    Reply
  12. Sinta na wewe unataka tu watu wabwatuke umu mpk et kijana mwenzie haaaaaa haaa! Asisahau ile korabo yake na jloooo se twangoja ati.u wiiii mjini raha
    Reply
    Replies
    1. Asitafute kick kwa kutumia vidole vyetu kwa sinta.com, akatoe collabo na JLo kama alivyoahidi ili apande chat otherwise her music is bad noise
  13. Ila jamani kila shetani na mbuyu wake. Kuna wanaopenda viserenget boys wengine mibabu wengine vimbaumbau wengine wenye mivitambi wengine dushelele kubwa wengine kibamia wengine ndefu ka ndiz mzuzu ili mradi tafrani tu!!
    Reply
    Replies
    1. Kwel kabisa mdau 9:04am. Wawaache tu jaman
  14. Atajijua mwenyewe huyo shilole kojoleo silake muacheni.kilamtu naakilizake naonazake ndiozimegoteahapo.dunia uwanja wafujo,kilamtu atavuna alichokipanda.heeee out of topic kumbe ally choki alifiwa na bby mama wake Yule mkewe doooh haya bana apumzike kwa amani.
    Reply
  15. Jamani kwa wale walio wahi kutoa na misoprostol mimba ivi ina kuaje ndugu yangu hapa anamimba na haitaki
    Reply
    Replies
    1. Usishiriki dhambi,
      Tubu.
    2. wengi walioshauliwa kunywa wamepata shida sana na mimba hua haitoki wanableed tu, ukiweka viwili chini ndani kabisa nyuma ya embryo na viwili ukanywa fasta.

      ONYO: Utoaji mimba ni dhambi kwa Muumba wako
    3. Tena aendelee hivo hivo kukataa labda kama amekichoka kizazi chake ndo atumie hyo dawa,nna dadangu hd leo huu mwaka wa 6 hapati mimba na hospital wamemuambia hawezi kuzaa tena,
    4. Alivokua anamanua miguu yake alitegemea nn...na namuombea kwa Allah atakapo tumia hizo dawa na maisha yake yaishie hapo hapo kama anavoyamaliza maisha ya huyo kiumbe asiye na hatia,kuna watu tunatamani watoto tumetafuta hd tumechoka miaka yote hatupati hlf wengine mwenyezi mungu kaajaalia bado hamtaki mwataka kuua tu wajaa laana nyie
    5. Mpeleke akasafishwe huwa ikigoma imegoma ataoza shauri yenu.
    6. Tafadhal msitoe hiyo mimba jaman kutoa mimba ni kubaya usiskie kila sku unatembea na mzigo moyoni. Plz plz
    7. Kama haitaki mwambie amrushie lady jay dee kwa bluetooth maana kuna wenzie wanakesha kuomba waipate na hawaipati
    8. Alijipanulia nn kama hakutaka mimba? Hebu tutoleeni uuwaji wenu humu. Mwambie amrudishie huyo mwanaume aliyempa.
  16. Jaman out of topic. Mtu anayejua sehemu inayouzwa makava ya cm (case) Mazur anielekeze kwa hapa dar plz
    Reply
  17. Sinta tunamtaka mwana.....mwezetu Rio paul humu
    Reply
  18. Out of Topic; jamani yule kaka wa kundi la hard blatters yule anayeitwa big W*le ni muhuni kupindukia mkewe mpole jamani kazi yake ni kulea watoto yeye mwnaume kiguu na njia, kweli nimeamini asilimia kubwa ya wana ndoa ndio wanaongoza kwa ukimwiii, ndo nshasema hvyo
    Reply
  19. Jamani Feza anafaidi kwa Oneal hebu mjionee hapa www.youtube.com/watch?v=YROxtQUd7w4 haya, msione wivu lakini mweeee.
    Reply
  20. Inamaana humu ndani hamjui kama domo kazomewa fiesta au?
    Reply
    Replies
    1. Tunajua sana ila hatutaki kumuongelea humu tanakua kama tunampa kiki flan hivi..tushamchoka yy na huyo demu wake ambae saiz anasaidiwa kumegwa
    2. Pitia posts za nyuma
    3. Pitia posts za nyuma kuna mtu alishauri vzr sn. Mambo ya asali sijui na nn nimesahau. Au akiweza atakujibu tena hapa. Pole mamy
  21. Nyie mnaojitia wadogo mbona kuutwa kukimbizana na mizee! Mbaya zaidi hamjui chochote kunako uwanja Baraka ya kujitia miwigi na mikope bandia na kujivika viguo utupu, hamna loloote! Kwa mizinga sasa yambagala imesingiziwa! Nilishavitafuna vitatu Kwa mpigo tena nilivila Tg Kwa laki. Kazaneni kusoma sio kuutwa kujisexisha insta
    Reply
    Replies
    1. Baladhuri mkubwa kwa hiyo unaona sifa kufanya uchafu wako kuja kutangaza humu. Kwanza nina wasiwasi na ww kama rijali maana humu wanawake watupu we kurupuu umetokea cjui kuzimu gn. Ningekuona mjanja kama ucngetoa hata shling. Mchicha mwiba weee
    2. kwikwiii kwi.....mchicha bwasi
  22. Mdau hapo juu kula tano.. Shilole kaona couple yao haivumi anatafuta kiki ..nyoko kaze ( in mama wema's voice) Tumekushtukia
    Reply
  23. OUT OF TOPIC naombeni file la meneja wa the b band maana nampendaje!
    Reply
    Replies
    1. KOMA KOMA NI MUME WANGU NAOMBA TUHESHIMIANE TAFADHALI NYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO TAFUTA WAKO
    2. Mbona na mimi ni mume wangu,tumeoana 20.2.2014,tuheshiane please.
    3. anaitwa nani me simjui
    4. google mpenzi the b band utamuona meneja wake, wadau hapo juu so jamaa ameoa wake wawili halafu hamjuani hahahha amenishida siwezi competition ila nampendaje jamani shetani toka meneja ana wake wawili hahahahha.
    5. tena nimekosea ni mkurugenzi ni mwenye bendi ile ya the b band
  24. HEh H Eh H Eh H Eh HEHEEeeee shilole sinta bibi huyu lkn mwenzio bado anaendelea kusoma..huon ckuiz kawa na akili ??naww ushauri ni kusoma tuu lasaba la mkoloni halikusaidii.im sure ungekuwa na elimu ht ya form four tuu ungekuwa na upeo.yan ulivyoandika hapo seems ulikuwepo pale kwa mtogole kati kati karibu na makaburi ya kwa mtumwa yan ni uswahili mtupu ukizingatia ww ni kijikioo cha jamii..ww ndo uimbe na jlo hahahaha ahhhah dunia ingekuwa na umbo la sambusa wallahiii ������������
    Reply
  25. Waacheni warareee!!
    Reply
  26. Me nina kiserengeti changu nimekizidi miaka 12 na kinanikuna baraa, na tuwaache warare!...
    Reply
    Replies
    1. hayaaa endereeni kuraraa
  27. Jaman naombeni ushauri nina tatizo la kuwa na weusi makwapan yaan hata sina raha nikishave tuu natokwa na vipele badae makwapa yanakuwa meusiii kama baka anayejua dawa anisaidie nimetumia aloe activator lakini wap yaan siwez kuvaa nguo ya kata mikono msaada wandugu nimechoka na hii fedheha sina raha hata kidogo
    Reply
    Replies
    1. kanunue salt scrub ya cucumber au ya ukwaju uwe unasugua kila siku. pia usi shave, uwe unafanya waxing au tumia NAIR. Ni
    2. Usitumie nyembe kushave. Tumia shaving cream kama Veet.
  28. Clouds ni noma,eti ooh DAVIDO kafungiwa kufanya show limewashukajeeee sasa.Na show ya Times iyo nov1 itawadodea maana utamu wa davido tushaumaliza kwenye fiesta.Hiyo show ya Times wataifanyia ofisini kwao
    Reply
  29. Sinta uso ka tako lako! Hebu achia comments watu tunaboreka bana
    Reply
  30. OUT OF TOPIC,msaada jaman,mim Ni mwanamke wa mkaka 26,nimeolewa miaka miwil iliyopita ,nimebahatika kupata mtoto mmoja wa kike,tatzo linakuja mume wangu anapenda punyeto mfano hakuna,kila asubuh lazima ajifanyie,mwanzon nilikuwa sijui coz tulikuwa tunakaa mikoa tofaut,yani hanigus mpaka nimuanze,naweza nikae hata uchi wala hashtuki,mwanzon nilhc ana mchepuko,kumbe Hana,msaada wapenz nifanyaje il aache,plzzzzzzz
    Reply
    Replies
    1. Dawa ni sala tu,Ombeni na kufunga sana, sio ugonjwa ni pepo hilo.
    2. mumeo aidha ni shoga au ana addiction ya kufanya punyeto. kampeleke kwa wataalamu.
    3. pole my dia..sijui tatizo ni nni ila hata mm my bf alikua kila asubuhi lazima ajifungie jikon mm nikiwa nimelala bdo anapiga puli nikaja kumfuma siku ikabidi aniambie kwamba ndo kawaida yake hata kabla hajakutana namm ni lazima kila asubuhi afanye.ngoja wadau humu watatujuza tatizo linalosababisha
    4. pole shoga wanaume waliosoma single school ni balaa , yaan hata mie li bwana langu linatabia hiyo yakupiga puli likipiga bao mbili chali linapumua kama Ng'ombe yaani limechoka hata halijui kusugua, yani punyeto mbaya sana aisee...ushauri akitaka kupiga punyeto mpe k atapunguza tu pili sali sana peke ako huwezi bila Baraka za Mungu
    5. Poole mdau, my ex-boy alifanya hivyo one day tukiwa kwa show eti hajisikii kudoo na mie mboni nilimuacha manjonjo yote ninayomfanyia alafu ajimalizie mwenyewe. Sa hizi anavyobebembeleza turudiane kama chizi. Muombe Mungu tu
  31. OFF TOPIC: kwa wanaoishi arusha naombeni data za Advocate Kweka plizzzzz
    Reply
    Replies
    1. Advocate Kweka ni handsome mume wa mtu kabisaaaa mkewe ni afande sasa wewe kifurudukwimbo kudandia waume za watu ukomeee tafuta wako malaya mkubwa wewe
    2. mshikaji wake advo kwekaOctober 21, 2014 at 4:52 PM
      we ongea taratibu tu utaeleweka ona povu lilivokutoka au na ww ni mmoja wa aliowatenda nn maana tunamjua alivyo handsome na anawatesa sana wadada wa mjini. kuwa na mke c tatzo coz anaonekana ana familia we km unadata zingine mpe mwenzio nae akashiriki kupata magonjwa all the best unayetafuta data za Kweka ntafute nikupe hizo data mwaya nna mjua kuliko hata huyo mkewe afande
    3. Huyo kweka ndo yule mkewe askari police? Na yy alikuwa askari magereza zamani? Jina lake la kwanza Tumsifu? Kama ndiye kiwembe balaa namjua in and out. So wewe unayetoka povu eti mume wa mtu tuliza kipupu hicho waache michepuko ifaidi
  32. Shoga wa mtaa Be kashaanza kujipendekeza kwa Miss TZ Kizee a,k,a ''Miss kikongwe haijawahi tokea Tz''... Eti nishakufungulia Instagram account unitafute nikupe password tu, ili siku ya siku aseme amemtoa yeye, huraaaaaaaaaaaaaaa.. bi kizee kujipendekeza kwa vibinti kumbe mko wengi. Basi usiwe unamsema yule dada mwingine maana hamtofautiani sana, na we ni mulemule tu.
    Reply
    Replies
    1. huyo ajuza ana stress za maisha muacheni jamani, utafikiri hajaenda shule yaani ni uswazi wa tandale mpaka kinyaa
    2. usijali uzee haukwepeki hata mamako alikuwa binti hata kila kiumbe siku moja kitazeeka sijui zamu yako ikifika utasemaje. ni hayo tuu na sijaona uzee wake bibi yako kijijini ye ni nani ?
  33. jeshi la mtu mokoOctober 20, 2014 at 2:32 PM
    Out of topic we SV kwa taarifa yako huyo mume unayejishaua nae kila cku anamfata ex wake, tena alianza kumfata wiki moja baada ya harusi yenu,tena hao marafiki zake unaowaita shemeji na kuwatag mipicha yako ndo hua wanamsaidia,kwa taarifa yako cku moja huyo mumeo na rafiki yake walimfata ex wakekazini ampe lift kutokana na shida ya usafiri wa posta dada wa watu akakubali, wakamuomba wapitie kwa rafiki yake wakachukue kitu,kufika kule rafiki akaaga anaenda kununua vocha kumbe mumeo anataka mchezo,dada wa watu alikataa na kuanza kumuhusia mumeo akuheshimu wewe,sasa wewe kutwa kujishaua fb na kumnanga ex wa watu,we ngoja tu!
    Reply
  34. Mdau wa misoprostol hata ucjaribu, utaishia kutoa tudamu tudogo tudogo..zaa tu shoo. Na wewe mumeo anayepga punyeto mshaur madhara yake baade. Pole
    Reply
  35. kiukweli tusimpambe shilole kwa kumdanganya ukiona mtu yuko na serengeti ni mchepuko tu, kamwe usimfanye awe mumeo wa maisha atakusumbua baadae nina idea nao. kuna mama mtu mzima anaishi na kijana km mwanae yaani hana amani ukipita tu presure anahic anaibiwa na mtt wa watu sa hv anatamani apate kijana mwenzie yule mama keshachoka mno. wanawake tunachoka hrk na huyo shilole kazi ngumu ya kukatika aliyonayo sijui itakuwaje atakua yondo sister soon
    Reply
  36. Mhh makubwa
    Reply
  37. JAMANI NIMECHAKAJE. YAANI MTU ANULIZIA SKENDO ZA ROSE MUHANDO. ANAJIBIWA KAMUULIZE MSAMA. KWANI MSAMA NA ROSE MHANDO WANA UHUSIANO GANI. MSAMA AMEOA ANA MKE MREMBO TENA MLOKOLE. MWACHANE JAMANI MSAMA WA WATU APUMUE.
    Reply
    Replies
    1. Msama si promoter wa waimbaji wa nyimbo za injili? Ndo akamuulize huyo labda atamsaidia kumjibu. Halafu mdau hajaulizia ishu ya rose muhando ya kimapenzi mpk useme kuwa ana mke na nn na nn. Ishu ya kikazi ndo imeulizwa hapo.
  38. Out of topic, nina tatizo la michunusi ya ndani kwa ndani, nimetumia vitu kibao lakini amna tiba, yaani siwezi toka njee bila poda, na uso wangu unakuwa km una manundi manundu nakuwa km mzee na ukiambiwa nina miaka 28 uwezi amini, haswa nitoke juani ndio sitamaniki km kizee uso una titimula vibaya mnoo..baraka yangu kipindi cha mvua kuwe hakuna jua na mimi hapo naonekana mtu, nisaidieni ndugu zangu cha kutumia kuna mtu aliniambia asali nichanganye sijui na nn nimesahau..
    Reply
    Replies
    1. dear haupo peke ako, mwe mie sasa chunusi plus mabaka bila make up sitoki nje maana du..anejua dawa ya chunusi atupe ushauri
    2. pole sana tunamshukuru sint kutupa uwanja wa kujifunza na kusaidiana...nitafute kwa namba 0769119295 hilo tatizo ni dogo sana.
    3. TAFUTA SABUNI INAITWA DUDU OSUM BLACK SOAP. NI ASILIA NA INASAIDIA MAMBO MENGI TENA
  39. Diamond kazomewa hatar na domo lake masifa tu hadi kupost instagram anaona aibu tena aache dharau na bado tuta mzomea mpaka..team alikiba for life naon halima nE kaeka picha ya domo ana tanua mbavu tu fyuu eti hasira akajMbe huko..jaman wema hapost picha ya baby ake diamond kwanini wakti kachaguliwa tunzo ulaya hahHa halo
    Reply
    Replies
    1. Acha wivu. Ungesikiliza jahazi jion hii wala usingeandika huu upumbavu wako.
    2. Wivu wa nini sasa hapo, kama mtu kazomewa sasa tusiseme!... nyoko zako!... team Alikiba 4ever
  40. Punyeto??
    sasa alioa ili iweje?? khaa wanaume awa??
    mnyweshe supu ya pweza au viagra
    ama mshauri akapate tiba ya kisaikolojia
    Reply
  41. mwenye weusi kwapani nitafte 0769119295
    Reply
    Replies
    1. we nae si uweke hapa kama ni biashara matangazo au sema dawa wote tujue sa akutafute ili nini ,kila mtu akianza kuweka namba hapa itakuwaje.
  42. Amnyweshe viagra si ndo atapiga punyeto to death!!!murder she wrote..
    Reply
  43. Wema sasa hivi ni best na best female wa matusi insta yeye na domo hali si shwari tatizo tukifunguka sinta anabana
    Reply
  44. Kiba kiba kiba kiba kiba!............................................... ur back,
    Reply
  45. Hakimu wa mahakama ya kitongojiOctober 20, 2014 at 8:19 PM
    Anony 11.58 tafuta popote panapouzwa pombe ya Lubisi hata pipa zima unywe,ntalipa kwa vodafasta,Serengeti hoyeee,mie mwenyewe mtu mzima haswa nina kiserengeti kidogoooo,kwa kukuna hatari nakapendajeee,kakianza manjonjo yake loh,kanadumbukia chini dumbwiii,kananyonya hatare,Shilole ivo ivooo,mizee ya nini haina dili mtuwace tulalwe,watoto kwa mama zao,kwani vijan awenzao hawakuwaona,mxiuuuuuuu,msituchanganyie mafaili hapa,uwiii hapa ninavyoandika tayari nimelowaaaa,yaani msiombe kujaribu hii kitu,na wala usiusemee moyo,manake ukijaribu hutoacha kama baba wa taifa alivosema ukizoea kula nyama ya mtu hutoacha,keleuwiiiiiii,kwa Sintah rahaaaaaa,hakuna mpinzani
    Reply
  46. Yaani ninekata tamaa kabisa na ndoa yangu alichofanya mme wangu wajameni...... walahiiiiii vile akija jibaba natombeka kijana natombeka hivyo virusi vije tu tufe vzr, nilikuwa na hips hatari baada ya kutendwa sasa na huyo mme wangu mie eeeh wandugu nikabaki kama kimfu kizuka cha watu ulimwengu kunishangaa mm.... kwambali mwili unarudi sasa hata nguo nikivaaa inakaaa kumanina sasa kanifundishaaaa raha ya dudu tutakufa na kwambieni.
    Reply
    Replies
    1. Nipe namba yako nije nikukune hadi ukunike!... mbona utamsahau hata huyo bwanako!...
  47. Anonymous 523,,umaskini WA fikra Tu unakusumbua,,ulipomzomea ulipata nin?mfyuuu,,au alikosea nin pale wivu Tu unakusumbua,,kisa kapata,,mi tz mingine cijui vipi ulifaa uende huko kwenye Ebola wew cz hiyo roho mbaya nyeusii,,,
    Reply
  48. Out of topic: jamani naomba msaada hali mbaya anaejua dawa ya kile kiuvimbe sehemu ya haja kubwa mana nishakata hospital mara moja kikarudi kienyeji mara mbili kimerudi nateseka sana asa nikipata choo kigumu niko dar tabata please
    Reply
    Replies
    1. Basi una matatizo mengine mbona kuna ndugu yangu alikata hosp mara moja tuu na hakijarudi tena??????????
  49. Out of topic: jamani mwenye kujua dawa ya kile kiuvimbe msaada tafadhali nishakata mara tatu kinarudi sina raha
    Reply
  50. hivi kwanini mtu anaanza kujianika hadharani mahusiano yake.wakati hata kumbikumbi wanamapenzi.mi naona ni ulimbukeni.hapo mbona aliuedhalilishwa ni huyo mume.mume sawa na bintizo akiwamega.by the way kwani ni mwanaume wake wa kwanza?.mbona ushamba mgumu jamani.
    Reply
    Replies
    1. Waache wajianike nawaume na wapenzi wao ndioraha Yao.wakibebewa waume wapost michambo kilanga komoo.wanawake wenyewe wa sasa mhh majangesti jihashue mitandaoni rusharoho ukibebewa kosa wanaume wenyewe hawa.
  51. Out of top
    Jaman mi tangu mdg namataizo ya ngozi.yaana maisha yangu yote napata cream za hosp nikiacha nawashwa uso mzima na watoka vipele,sasa izi cream zimeniwekea weuse machon km uje wa kujichubua,napata shida watu wanajua mi najichubua na nimeungua na mkorogo wakat c kweli,kuna watu walinishaur nitumie bio oil na mafuta ya mawese nimepaka havinisaidii naomba mtu anaejtja dawa au mafuta yatakayonisaidiajkuondoa huo weusi anitajie napata shida c mnajua mwanamke reception na kasura kazur tatizo ni hilo tu nataman hata kuwa navaa nikabu sema kaz hainiruhusu ,kuna cku dada 1 niligombana nae akaniita bleaching woman mbele za watu niliumia wkt cjichubui na hata wanaume naowapata wanajua najichubua weng hawapend wanasepa wananiona kama shanging na hiv nina mwil mkubwa so sina hata raha naomba msaada jaman mi ntanunua mafuta at any cost mrad tu yanitoa huu weusi
    Ahsante sana,asante sinta blog ubarikiwe
    Reply
    Replies
    1. tumia mediven ontiment,nunua kwa maduka ya dawa,paka kila usiku after bath,inasaidia hata kwa wale walioungua kwa cream,pia uso unakuwa soft,try it then ukuje utoe ushuhuda humu.
    2. sawa ndugu yangu ntanunua leo leo ahsante sana
    3. 0764688774 nipgie ntakupa best solution my dear
    4. Hata mimi nilizaliwa na hilo tatizo, niliugua ugonjwa wa ngozi toka mdogo nilienda kwa dr. wa ngozi akaniandikia Elvate creame ni tube ya kijani ilinisaidia ila nikawa nikiiacha ninawashwa famasi wakanishauri nibadiri nitumie elcoty nikawa natumia hadi nikawa sawa sasahivi napaka lotion yoyote na situmii zile dawa tena. usinunue oitment tumia cream. jaribu hii kwanza achana na washauri wa muwasho wa kawaida au kamuone dr wa ngozi inaweza kua aleji pia.
      NB: hata ukitumia hiyo mediven usitumie oitment tumia cream, oitment inawasha kwa baadhi ya ngozi.
  52. Wanawake mkipata ndoa punguzeni midomo. Na nyodo. Ndio mnafanya waume zenu wakumbuke ex wao. Unamjibu nyodonyodo kisa kashakuoa na akicheck ex wake bado analipa zaidi yako lol. Na huko ndani kwenu jamani muwe mnakuweka smart hata mwanaume awe na hamu. Utakuta ndani kuchafu,mishuka imefubaa,mitaulo inanuka uvundo..ataacha kutamani kulala nyumba ndogo full miperfume! Shuka safii, chakula kitamu lol. Mkijua kutafuta ndoa mjue na kuzihudumi. NB: muwe mnafua vizuri boxer na vest za waume zenu, sio mume wa mtu anakuja kutombana nje mchafuuu. Vuzi si vuzi dada, jasho c jasho, pumbu c pumbu ilmradi tu tafrani. Kwa style hii mtaibiwa sanaaa. Jipangeni
    Reply
    Replies
    1. Kwa hiyo mnataka tuwasafishie ili utonbwe kwa raha? Tunawaacha hivyo hivyo na mavuzi Yao na boxer za kunuka,we hujaolewa ndio maana unasema hivyo hao wadudu hawana shukrani yani mimi namfanyia kila kitu mume wangu kupika ndo usiombe yani hataki mtu yoyote ndani ampikie zaidi yangu lakini ana wanawake Dar nzima yasikie Tu!
    2. Hahahaha 6:42 umepinda. Yani huko chini ulikomalizia kwenye NB kumenimaliza. Uwiii humu ndani raha jaman unacheka mpk unasahau shida zote duniani
    3. ahahah.Yann umenichekesha sana.Ahahahahha.Unoenekana kibaka mzoefu..unataka kusafishiwa kabisa.Hutaki tafrani.ahahahaha.U made my day
    4. We mdau lazima huna mume...na utatombwa na wanaume za watu mpaka wako akija huna hali....mpate wako alafu mfanyie kila kitu...mdomo mrefuuu
    5. Kwikwikwi uwiiiii we anon 9:51 umepinda. Yan nimecheka had nimejamba hapo kwenye NB pameniacha hoi. Umenikumbusha danga langu lina mavuzi balaa toka amuoe mkewe hajawah kunyolewa wala kufuliwa boxer. Mashuka mpk amwambie mkewe badilisha basi. Huko choon tiles nyeusiii ns soap dish imejaa ukungu wa sabuni. Huwa analalamika hadi huruma. Ila usafi kwa mwanamke c nje tu jaman tujitahd na majumban mwetu. Si kwa ajili ya mwanaume tu ila kiafya inapendeza
  53. He he heeee! Haloo. Wape wape wapeee. Utakuta mwanamke uso msafiii, mlipstick huooo sasaaaa nenda kwakee! Mlangoni unakaribishwa na sahani ya wali iliyoliwa juzi mpaka imegandiaaa. Ndani vumbi vumbi looh acheni usafi wa waha, kunya pembeni alafu anatema mate kwenye tundu la choo. Lolest.
    Reply
  54. We dada wa weusi wa macho, bio oil inaanza kutoa majibu baada ya kutumia kwa zaidi ya miezi 3.

    nakushauri tumia iyo, na huta juta.
    Reply
    Replies
    1. ahsante kwa ushauri nashukuru
  55. anymous 6:45am tumia lemon water na avocado.veyr good fruits for ur skin no need of cream or cheminal only natural foods works for l skin very cheap but worth it.lemon water una kata slice ya one big or two lemons and unamix kwenye warm water it will be ur daily drink instead of plain water.u keep adding warm water ikiisha.read more of lemon water and avocado eat the whole avocado. Good luck.
    Reply
    Replies
    1. THANK YOU A LOT MY DEAR
  56. Dada mwenye tatizo la kuashwa nami nlikua na tatizo kama lako kuna dada anaitwa Eva yuko sinza mapambano jina la duka linaitwa ngaringari nenda hapo mi alinipa dawa zmenisaidia mpk leo nk vizuri
    Reply
  57. OOT: Mimi BF wangu amechukuliwa na mama mtu mzima tena mwenye wazifa wake amemdanganya mpaka kijana kaingia line wameoana na yuko sawa na mama ake yani wamezaa watoto wawili na mimi BF wangu nimezaa nae mtoto mmoja mbaya zaidi mimi ndio wa kwanza kuzaa lkn mama anamkaba yani hata siku moja aseme amjulie mtoto wake hali akinipigia simu maza anakuja juu, Adui yako muombee njaa mi nawaombea wakae zaidi ya miaka kumi mana itakua ni bibi na mjukuu na watoto ni vitukuu ndani ya nyumba. roho iliuma mpaka sasa imekua kawaida maisha yanaenda mtoto wangu yuko 4yrs baba mtoto angu akipiga simu ujue mkewe kasafiri maneno mengi mimi namuenjoy tu.
    Reply
  58. kwa wale wenye mabaka meusi kuna duka la perfume tandika flame za shule wanauza sabuni za asili kutoka uarabuni zinaitwa sports remover mie nilikua na mabaka nimetumia hv sasa nipo fresh kabisa sina hata alama
    Reply
  59. wanauza sh ngapi mm nina tatizo hilo

0 comments:

Post a Comment