UZINDUZI WA BIG BROTHER HOTSHOT SERENA DSM
![]() |
| moi n partner in crime |
![]() |
| Ms Kambodya |
![]() |
| Ms Manongi |
![]() |
| Shudaaaaa |
![]() |
| Furaha n friend |
![]() |
| Seif |
Haya sasa tumeshazindua Big Brother Hotshot, kazi kwako mzalendo wa taifa hili kuwa support vijana wenu waliopo mjengoni, wakipata wao ndio tumepata sie jamani tuonyeshe upendo wa hali ya juu
AnonymousOctober 6, 2014 at 9:59 AMsinta you are beautiful. ni hayo tu japo umeniudhi kuvaa blouse bila kitu chiniReply
AnonymousOctober 6, 2014 at 10:02 AMHilo shati umekosa hata skin tyt nyeusi ya kuvalia? Khaa ndio nini sasa kuvaa shati peke yake chini peku peku au na wewe unatafuta kuolewa? Maana ndio mitaa ya kutafuta ndoa hiyo. Ushakuwa sasa hayo mambo waachie watoto.Reply
Mumuache my CEO.MxiuuuuReply
Hiyo inaitwa T-dress..ni kama tshrt but its a dress.Hebu mumpishee
Umependeza sana my CEO..Wakuache na ushmba wao
AnonymousOctober 6, 2014 at 11:47 AMMmmmh jamani uyu mwanamke ni mzuriiiii. Af akazeeki aka Ka sintaReply

kidoshobai mwana chakubimbiOctober 6, 2014 at 11:52 AMUmependeza mwanamke mwenzanguuu. Sura umejaaliwa SintaReply
ila ni kweli mwenzetu hee bora ungevaa hata tite nyeusi jamani ndonini sasa vipaja nje mama mzazi nawe !!! umeniudhii!!Reply
AnonymousOctober 6, 2014 at 11:55 AMHeheeee Chezea Sinta.! Hana haja ya kupiga picha na miwani kuziba sura iliyokomaa Kama ya mamba. Kumbe ndomana kibiriti ngoma hua anabwata hahahaaaa. Kagundua sinta kamzidi mbali mnoo kwa urembo.Reply

AnonymousOctober 6, 2014 at 11:59 AMChezea mpare weweeee!!!! Hahaaaaa wapare tumejaaliwa urembo bwanaaa.. Beauty with Brain heheee.ni wapare wachache Sana waliokomaa sura hasa wale wenye husda na jicho baya ile wengine woooteee MashallahhhReply


AnonymousOctober 6, 2014 at 2:58 PMMmmh sura na mwili vitu viwili tofauti...uso unangaa ila miguu na mikono mfyuuuu. Hii mikorogo ya kupima balaaa.,Reply
AnonymousOctober 6, 2014 at 3:22 PMHeee jaman kuzaa imekuwa nongwa oooh mama aliyetoka kujifungua so what?mtu asijiachie kujidai mafashonista ss kwn yy hakuona kama anahtaj hyo tite nyeusi mumtue mtt wa manongi mmwache afanye yake vaa ww hyo tite nyeusi na shati lako ingia kwenye party kama una kadi alaaaa myu asifanye yake kawaomba ushauri wa mavazi au.na akisema hana hyo tite nyeusi mana mmeikomalia kama n hyo tu madukani hebu tutoleeni stress zenu za mavz hapa ndo nshasema .haya tukaneni lkn ukweli ndo huo hata avae kichupi n yy mumwacheReply











