nawashangaa sana watu wengine mnajifanya mnajua sana kuongea kuhusu mambo yasiyo wahusu kuna mzazi yoyote anataka mwanae apotee ache mambo ya kishamba unataka mtoto avae dira kwani yeye mtu mzima kama unaona namlea mtoto wangu vibaya niachie mwenyewe zaa wa kwako mlee vizuri,Hayo ni maneno ya mwanadada
Kajala aliyoyasema leo baada ya fans wake mbalimbali kuanza “kumponda” kuwa anamlea mtoto wake “ndivyo sivyo” hususani suala kumvalisha mtoto wake vinguo vya “wadada wa mjini”
Kajala ambaye mara nyingi anaonekana akiweka picha mbalimbali za mwanaye huyo aitwaye Paula akiwa kwenye mapozi tofauti alizidi kusisitiza kuwa mtoto huyo ni wake na ambaye hapendi anachofanya basi atafute wake.
0 comments:
Post a Comment