Saturday, October 4, 2014

 
MKUU  wa Jeshi la Polisi mstaafu, IGP Said Mwema pamoja na ukoo wa Mwema na Nkya unasikitika kutangaza kifo cha mama/dada yao mpendwa Bi Sophia Rajab Nkya kilichotokea jana 3/10/2014 saa 2.45 usiku ktk hospitali ya KCMC Moshi.Mazishi yatafanyika leo 4/10/2014 saa 10 alasiri ktk makaburi ya Moshi Mjini.Habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki waliopo ndani na nje ya nchi.Saidi Mwema. 
 


 

0 comments:

Post a Comment