Saturday, October 4, 2014

Historia fupi ya Marehemu
Marehemu Bi Husna Hemed amekuwa Diwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni tangu mwaka 2005 ambapo alikuwa Diwani wa Vito Maalum. Mwaka 2010 mwezi Oktoba alichaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Kinondoni hadi mauti yalipomfika katika Hospitali ya AMI Masaki Jijini alikopelekwa jana kwa matibabu.
Marehemu Mheshimiwa Bi Husna anatarajiwa 

kuzikwa kesho tarehe 4 Oktoba, 2014 saa 7.00 mchana.

Mazishi yapo nyumbani kwake Mtaa wa Bi Husna Kinondoni Block 41

0 comments:

Post a Comment