
Hii ni Pikipiki aliyokabidhiwa katibu kata ikiwa ni zawadi iliyotolewa na Diwani wa Kata ya Makungu kwa ajili ya kuwafikia wanachama kwa haraka wakati wa utendaji wa kazi za chama.

Mtaturu alikabidhi baiskeli sita kwa makatibu tawi kwa ajili ya kuwafikia wanachama kwa haraka wakati wa utendaji wa kazi za chama.

Mtaturu akizungumza jambo Picha na Mathias Cana
0 comments:
Post a Comment