Saturday, October 18, 2014

1a
Mwanamuziki TI wa Marekani akiingia kwenye ukumbi wa mkutano leo jioni hii kwenye hoteli ya Seacleaf wakati yeye pamoja na Mwanamuziki Davido wa Nigeria na wanamuziki wengine mbalimbali watakaoshiriki katika Tamasha  la Serengeti Fiesta ni Sheeedah walipoongea na waandishi wa habari kueleze jinsi watakavyofanya mambo mamkubwa kwenye tamasha hilo linalofanyika kwenye viwanja wa Leaders Kinondoni jijini Dar es salaam.

2a
Mwanamuziki TI wa Marekani akisalimiana na Mwanamuziki Davido wa Nigeria wakati walipokutana kwenye ukumbi wa mkutano tayari kwa kuongea na waandishi wa habari kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Bw. Steve Gannon.
4
Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Bw. Steve Gannon akizungumzia mafanikio ya Tamasha la Serengeti Fiesta wakati wa mkutano na waandishi wa habari kushoto ni Mwanamuziki TI kutoka nchini Marekani na kulia ni Ephraim Mafuru Mkurugenzi wa Masoko SBL.BOFYA KWA PICHA ZAIDI>>>>

0 comments:

Post a Comment