Wednesday, October 22, 2014


  • https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpIW8PR7eFsF8iPar3v-A_bNBktPNtr61WHWVB7iols8TqgErof4oVuTLZ1jqfMEIAOt4_duEvoqxy9t7NpNdSkZAAQFVXxh7sc0pV2T4Fp08dUuW3TogAKzVP3S3_tJ9Hjtwgb7avZchT/s1600/DSC_0966.JPG
    Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni Waratibu wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiongea na waandishi wa 
    habari juu ya sakata la umri halali wa Mrembo aliyetwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Mtemvu (kushoto).
     
    Teddy Kaegele yaani nimemchukia miss kwakweli na lundenga anazeeka vibaya hawaoni hata aibu na mama yake mzazi kutuongopea cheti kipya kabisa hiki yaani wamenikera sana
    15 hrs · Like · 5
  • Theresita Trisa labda vyeti vilivyotolewa 1989 vina expire date aibuu zaoo
    15 hrs · Like · 2
  • Samantha Oshea Maina Jamani Lundenga. Huyo binti maishayake,vyeti vyake ,jamii haielewi. Sasa usilazimishe watu wamkubali ,washamkataa. Kama huyo ni Miss Lundenga then ..........Kama ni Miss Tanzania ,wasikilize wa Tanzania wanacholalamika.
    14 hrs · Like · 5
  • Aisha Awwal Upuuzi mtupu mana hiko cheti kisipotee siku Zote bali kipotee pindi anashiriki umiss. Lundenga kubali kataa rushwa umekula na huyo mrs Tanzania hana 23 sura ishazeeka hiyo. Unamtetea kuongea French mpelrken huko miss world akafanye hivo uone kmA hajawa disqualified . She doesn't follow rules. Ah Poleni Tanzania
    14 hrs · Like · 4
  • Josephat Lukaza Kwa HIli uhamiaji natamani nao kwa waliongelee hivi maana ni aibu kwao...Au huyu sio yeye?mmmmmmmmmhhhh
    14 hrs · Like · 3
  • Samantha Oshea Maina Hatutaki Miss muongo,aeleze sababu za kudanganya umri kwenye driving licence na passport yake.
    14 hrs · Like · 3
  • Faiza Ally Bora wamuite miss lundenga sio miss Tanzania hahahaaa Jestina George Meru
    14 hrs · Like · 1
  • Joseph Mwaisango Mke wa mtu huyo jamani washakula mali hapo hakuna jinsi bora wangempa huyu
    14 hrs · Like · 3
  • Eddie Shebe Hamilton Malume This is disgusting n Rubbish. Telling lies while the truth is clear.
  • Julie Dollie Nasikitika hata waandishi wanashindwa kuwa wadadisi, huyu kasoma wapi, kasoma na nani, kazaliwa hospitali gani? classmate wake nani? ukiweza kutrack haya utapata jibu sahihi. Na je kujibu Kifaransa haikuwa disqualification?
    14 hrs · Like · 7
  • Tonga Eliangireriasia Lillian Said Surur njoo sikia mambo haya....
  • D Jay FU In Tanzania anything can be bought if you have the right amount of money!!! So what's the point of all this circus, it's a waste of our time.....she lied, he got paid, someone was paid to produce documents claiming that she is telling the truth and so on and so forth. let's move on from this mess is what I say, we the public can't win! Because as long as there are people who accept bribes the truth will never come out unless the liars want it to!
    13 hrs · Like · 8
  • Mtage Sekky Swali je hivi ile passport sio yake???? Na driving licence je na watu waliosoma nae uganda.. mm naomba anionyeshe passport yake tuuu
    13 hrs · Like · 2
  • Rahab Mbise Am so disgusted by this!
  • Mtage Sekky Vyeti vya kuzaliwa mbona vinanunuliwa tuu... warundi kibao wanaokuja euro wanakuja na passport ambazo zinaonesha ni wazaliwa wa Tz.. na Kabla ya kupata pp huwa wananunua vyeti vya kuzaliwa.... WASOHAYA KWELI WANA MJI WAO.. Watu hawakutaki wala kukukubali kwa uongo wako bado unang'ang'ania tuu.....
    13 hrs · Like · 1
  • Trim Saleem vyeti vya kuzaliwa vinanubuliwa siku hizi na kama hilo ni kweli basi uhamiaji na Huko RITA kutakuwa na kasoro kubwa kwa kuandika umri tofauti wa m tu mmoja
  • Kwame Diwan Problem ni kwamba Tanzania sio watu tu kuanzia na serikali yenyewe haipo serious na kamwe haitakua serious kama amethibitisha mwenyewe hiki ndio cheti chake na tarehe yake mimi sina tatizo sawa tunaomba uhamiaji watoe taarifa zake wakati anaomba passipoty ya kusafiria alijaza tarehe ipi ya kuzaliwa na kama ni tofauti na cheti chake basi haraka sana uhamiaji wafaili kesi mahakamani kwani imeandikwa wazi kabisa kutoa taarifa za uongo wakati wa kuomba hati ya kusafiria ni kosa la jinai najua kwa Tanzania ili haliwezi kutokea akapandishwa mahakamani kwa serikali yenyewe haipo serious na sheria iliyojiwekea yenyewe
    9 hrs · Edited · Like · 2
  • Aisha Almas Cheti kinaonyesha kazaliwa nyumbani, Temeke 1991 mmmmh
  • Clarie Kiparis Labda passport sio yake imeeditiw kama ni yake imekuaje kupishana DOB maana unatakiwa cheti cha kuzaliwa na vikorokoro kibao vya kithibitisha sasa imekuaje pasport iandikwe DOB nyingine na hiki cheti kisome vingine, sio kwamba watu wanamchukia la hasha wanataka uhalali wake wa kushinda na vigezo kupishana...ngoja niendelee kuuza dagaa mie maisha yaende lundenga na timu yake buuuuuuuuuuuuuuu
    8 hrs · Like · 1
  • Jully Noir Bvlgari Watu wamesha kula pesa na yule miss awezi kuvua taji otherwise Rudengwa arudishe mshiko kwa Mh Mtemvu...mama mtu kaja juu hahaaaa weraaaaa.
    8 hrs · Like · 1
  • Nkundwe Mwaipopo Wetengere Bongo yetu ina vituko jamani duh
    6 hrs · Like · 1
  • Elizabeth Anael Haverkamp Uhamiaji jiteteeni sasa hiyo passport alipata je duh bongo nouma
    5 hrs · Like · 2
  • Miku Lobo Teweli Mworia Am not a fan of this industry, but seriously this really shows how crackheads they are. The immigration can't say shit about,
    5 hrs · Like · 1
  • Paul Francis Mongi Majanga LIVE! Si madogo! Jessy, hiyo passport wamefoji au vipi? Yaani document KUBWA kama hiyo inatolewa hadharani WANAIKANA? Ni rahisi MNO kufoji cheti cha kuzaliwa, LAKINI passport HUWEZI kufoji! Labda uende na affidavit ya uongo, lakini kwa nini mwaka wa kuzaliwa UKO TOFAUTI????? EEEEEEEH?
    3 hrs · Like · 1
  • Jully Noir Bvlgari Haya yote yasinge tokea kwanini wali mruhusu kushiriki Miss Chang`ombe wange mzuhia kule kule b4 aje ngazi za juu...Hadi sahii Habari isha kwisha nilivyo ona mama ake anavyo wajibu wa handishi wa Habari ndo isha toka hiyo.

0 comments:

Post a Comment