Watoto wawili wa kike wa muimbaji wa Tanzania, Shilole, hawamuiti mpenzi wa staa huyo Nuh Mziwanda ‘baba’ bali ‘uncle’
“Watoto wananiita uncle,” amesema Nuh. “Nafurahi nikiamka asubuhi ‘uncle good morning’, yaani fresh, ‘uncle maji ya kuoga’. Ni watoto lakini wananipenda, wana love kwangu. Kuna SOMA ZAIDI>>>

0 comments:
Post a Comment