
STAA wa filamu Bongo, Wema Isaack Sepetu ameshindwa kujibu mapigo ya mwandani wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutompa zawadi yoyote katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee uliopo Posta jijini Dar.
Staa wa filamu Bongo, Wema Isaack Sepetu akiwa na mwandani wake Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Kutokana na msanii Diamond kumpa zawadi ya gari aina ya Nisani Morano mwandani wake huyo katika siku yake ya kuzaliwa japo hakuwepo na BOFYA KUSOMA ZAIDI>>>
0 comments:
Post a Comment