Hii nimeitoa INSTAGRAM,
Kama mnavyojua Mwanadada Wema amekutwa na mengi sana kwenye swala la mahusiano...Siunakumbuka wadada kibao walisha mchukulia mabwna zake....kwamfano, Jokate,Penny, Kajala...nk.
Sasa AKAUNTI ya TeamUkweliNauwazi huko INSTAGRAM imekuja na huyu, Nanukuu;

Hahah eti hawa nao wamekua mashosti tena hahahaha jamani eti ile team Ma*i mnakumbuka walimtukana weee ooh Ma*i malaya kamchukulia wema ck sijui vikapanda vikashuka mkaweka picha zake Za uch* eeeh week Nzima ilikua Ya huyu minaa jamani hahaha haya Leo eti wamekua mashoga kumkomesha kajala nyie Ma*i kweli mnachuliana mabwana mnagombana kesho mnaongea haraaaaafu yule Mama mwendawazimu wakat anaongea ule upuuzi wake pale ndani sijui kajala kamchukulia mwanangu SOMA HAPA ZAIDI>>>
0 comments:
Post a Comment