Monday, November 17, 2014


“Hata sielewi kwa sababu walisema wanapeleka faili kwa mwanasheria ndipo tutakapoitwa ili ijulikane inakuwaje, nawasubiria.”
Aisha Bui akiwa mwenye gadhabu siku ya tukio.
Hivi karibuni Aisha alifanya fujo kwenye ofisi za Yuneda kutokana na kumuuzia muvi tangu Aprili, mwaka huu lakini hakumpa fedha yoyote na walikubaliana milioni tisa lakini alikuwa akimpiga kalenda ndipo akamwangushia timbwili ofisini kwake.

0 comments:

Post a Comment