![]() |
Ndicho niliandika kwenye makala yangu kuhusu Lowasa kwamba Rais alikuwa hamtaki Lowasa na aliwatumia kina Mwakyembe kumuondoa. Ndiyo kusema Bunge letu ni toothless. Tukiona bunge limewatimua mawaziri tujue sio wao isipokuwa wametumwa. Safari hii hawakutumwa na mkuu hatakai waondoke kwa sababu nadhani anaona aibu kubadilisha baraza la mawaziri mara tano. Na watu wasidhani hii ni bahati mbaya, it is constitutional. Kikatiba Bunge letu halina chochote zaidi ya kushauri tofauti na Kenya ambapo wabunge wana mamlaka kamili ya kuwajibisha viongozi wa kisiasa."

0 comments:
Post a Comment