Friday, November 14, 2014

Stori: Imelda Mtema

Msanii wa filamu ambaye sasa amejichimbia Dubai akisaka maisha, Jacqueline Dustan amevujisha picha zinazomuonesha akioga bafuni huku akionekana yuko bwii,  jambo ambalo ni kinyume na maadili.
Msanii wa filamu bongo, Jacqueline Dustan akioga huku akinywa.
Picha hizo zinamuonesha msanii huyo akiwa kwenye sinki lenye mapovu na nyingine zikimuonesha hadi sehemu zake muhimu.PICHA ZAIDI>>>>

0 comments:

Post a Comment