Posted by Williammalecela.com on Monday, November 17, 2014
 |
| Meli mpya ya MV. Dar Es Saalam iliyoahidiwa na Waziri Magufuli, ilipowasili mjini Dar leo na kushushwa rasmi bandarini meli itakuwa na safari za Bagamoyo na Dar ili kupunguza foleni za magari hapa mjini, ni matunda ya Serikali ya CCM Awamu ya 4! ya Rais Kikwete U know!! |
0 comments:
Post a Comment