Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Mshariki Margareti ziwa ameng'olewa kwenye Kikao cha Bunge hilo linalioendelea Nairobi Nchini Kenya.Bunge limemteua Chris Ooka kutoka Uganda kushika wadhifa huo kwa muda hadi atakaochaguliwa Spika Mwingine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment