LEMUTUZ

Saturday, November 8, 2014

CHUCHU WA RAY AZUA TIMBWILI BARABARANI!

Posted by Williammalecela.com on Saturday, November 08, 2014
 Baby wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy. Timbwili hilo lilitokea juzikati maeneo ya Kinondoni jijini Dar ambapo msichana huyo alikuwa akiendesha gari hilo aina ya Mark X nyeusi ambalo limefanana na la Ray, Chuchu alipoliona kwa mbali linaendeshwa na msichana, akaanza kulikimbiza. NI mkalia nyonga wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy amezua timbwili la aina yake barabarani baada ya kukimbiza gari la msanii aitwaye Ester Kiama akijua ni gari la ‘bebi’ wake.Chanzo kilichoshuhudia ishu hiyo kimesema licha ya Chuchu kufanikiwa kulipata na ‘kuliziba’ kwa mbele gari hilo, aliumbuka pale alipolikagua na kugundua si la Ray.Alipoulizwa Chuchu na mwanahabari wetu kuhusu tukio hilo, alijibu kwa kifupi: “Jamani naomba hilo sipendi kulizungumzia.”
Baby wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy. Timbwili hilo lilitokea juzikati maeneo ya Kinondoni jijini Dar ambapo msichana huyo alikuwa akiendesha gari hilo aina ya Mark X nyeusi ambalo limefanana na la Ray, Chuchu alipoliona kwa mbali linaendeshwa na msichana, akaanza kulikimbiza. 
NI mkalia nyonga wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy amezua timbwili la aina yake barabarani baada ya kukimbiza gari la msanii aitwaye Ester Kiama akijua ni gari la ‘bebi’ wake.

Chanzo kilichoshuhudia ishu hiyo kimesema licha ya Chuchu kufanikiwa kulipata na ‘kuliziba’ kwa mbele gari hilo, aliumbuka pale alipolikagua na kugundua si la Ray.Alipoulizwa Chuchu na mwanahabari wetu kuhusu tukio hilo, alijibu kwa kifupi: 
“Jamani naomba hilo sipendi kulizungumzia.”
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT