Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka
Hospitali ya Johns
Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa
wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka
Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa
upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akiagana na Daktari Edward Schaeffer muda mfupi baada ya
kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore,
Maryland nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki
iliyopita.(picha na Freddy Maro)



0 comments:
Post a Comment