
Millard Ayo

Adam Mchomvu, B12 na Dj Fetty!Hawa watangazaji wa Clouds FM, B12, Adam Mchomvu,Millard Ayo na DJ Fetty ndo watangazaji wanao pendwa sana katika kituo hicho cha radio.Hakika huvuta mamia na maelfu ya wasikilizaji kufwatilia vipindi vyao vyenye ubunifu wa hali ya juu.
Timu nzima ya Kandili Yetu [KY] inawapongeza na inawakumbusha kuto bweteka bali kuongeza juhudi zaidi.
Ukiwa kama mdau na una chichote cha kusema juu ya hawa jamaa, tupia comment yako hapo chini tafadhali!
0 comments:
Post a Comment