Posted by Williammalecela.com on Monday, November 17, 2014

Dakika chache baada ya kuondoka Bongo na kukwaa pipa, bebi mpya wa Diamond, Zari 'The Boss Lady' akiwa ndani ya ndege alionekana mwenye mawazo mazito katika picha alizotupia juzi kwenye fan page yake ya Face Book >>>
0 comments:
Post a Comment