Inadaiwa kua Emmanuel na mfanyakazi huyo walikua wakiishi wawili tu ndani ya nyumba ya Emmanuel, lakini kitu cha kushangaza zaidi ni pale mfanyakazi huyo alipojinyonga. Inavyosemekana Emmanuel hakutoa taarifa kwa majirani kuhusu tukio hilo badala yake alitoa taarifa polisi na kisha kuusafirisha mwili wa marehemu kwa siri sana kwenda kumzika Singida.ZAIDI>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment