.jpg)
Kaimu
Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Michael
Mwanda waachiwa wakisubili uamuzi wa kamati ya mahesabu ya Bunge baada
ya kuwekwa rumande siku ya jana kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26
kwa kamati ya bunge la hesabu za mashirika ya umma PAC, kamati iliagiza
wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.
0 comments:
Post a Comment