Thursday, November 13, 2014
KAJALA AJIUNGA RASMI FACEBOOK, AKAUNTI YAKE HII HAPA.
Posted by Williammalecela.com on Thursday, November 13, 2014
Kajala
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Kajala Masanja amejiunga rasmi Facebook na kabla ya hapo hakuwahi kuwepo Facebook hivyo akaunti au page zote ulizokuwa ukiona hakuwa kajala halisi.
Kajala amejiunga Facebook jana usiku na akaunt yake ni hii hapa Kajala Masanja .
Swahiliworldplanet imepata uhakika kuwa kweli hiyo ni akaunt halisi ya muigizaji huyo wa filamu za Devil Kingdom, Kigodoro na Kijiji Cha ambua Haki. Pia Kajala anatarajiwa kutamba na filamu yake mpya iitwayo Pishu
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment