Sunday, November 16, 2014

Kijana Sande Mrema Mwenye tatizo la uzito wa kilo 250 na umri wa maiaka 25 ameshindwa kusafiri kwenda nchini india katika matibabu yake baada ya kushushwa mara kadhaa kwenye ndege za kimataifa anazotakiwa kusafiria licha ya ndugu zake kulipa
Gharama zote za usafiri wake.Akizungumza kwa Masikitiko eneo la karakana katika moja ya Hoteli anapoishi kwa sasa wakati akisubiri miujiza ya kupatikana kwa Ndege Bwana Sande Mrema aliyehitaji waandishi kumfunika uso wakati wa mahojiano amesema anateseka sana na uzito wake unazidi kuongezeka siku hadi siku lakini hajafanikiwa kusafiri.

0 comments:

Post a Comment