Thursday, November 20, 2014


Le Mbebez anayesadikiwa kukutwa akivunja Amri ya Sita ya Mungu na marehemu Bilionea wa Bukoba Mntesa ndani ya gari, na mpaka kupelekea kifo chake live!!

Marehemu Bilionea wa Bukoba Mntesa kabla hajafariki akiwa mahututi baada ya kukutwa akivunja amri ya Sita ya Mungu na le mbebezzz!!
Mama mzazi wa Bilionea wa Bukoba Mntesa akilia kwa uchungu jana baada ya mwanawe kufariki katika mazingira ya utata sana!

Mama mzazi wa mke wa Bilionea Mntesa wa Bukoba aliyefariki jana kwa utata sana!!

0 comments:

Post a Comment