Mtizame Bwana huyu ambae hakubahatika kuzaliwa na mikono lakini kwa sasa ni Engineer.
Watu wengi hapa Tanzania na hata ulimwenguni kote tume kua ni watu wa kutoa na kutafuta visingizio kila mahala tunapohitajika kufanya jambo.Bwana Richie amekulia maisha ambayo amekua kila sikua kiimbiwa kuwa hatoweza kufanya kituflani katika maisha yake kama vile hatoweza kuendesha gari, kupata kazi ambayo itaendesha maisha yake.
Lakini aliamua kuachana na mawazo hasi ambayo amekua akipewa na watu mbalimbali na kuthubutu kujaribu kufanya kitu katika maisha yake.
Sasa leo ndugu zangu naweletea hii video ya Bwana Richie Parker mtu aliezaliwa bila mikono lakini ni Engineer na dereva na ni dereva mzuri tu.
Nadhani baada ya kutazama video hii na wewe umegundua kuwa unaweza kufanya kitu kwenye maisha yako.
0 comments:
Post a Comment