Tujiangalie sana unapopata na hasira kwa ajili ya mpenzi wako na kuchukua maamuzi magumu sana katika jambo ambalo limeshatendeka na hata ukifanya nini halitaweza kurudi, cha msingi ni kuangalia wapi mwenza wako kakosea na kama imeshindikana ni bora uachane naye kwa kheri kuliko kuaribiana maisha, ingawa maumivu yapo na yanauma ila tujali utu kuliko kufanya unyama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment