LEMUTUZ

Wednesday, November 12, 2014

LE MAJANGAZ MENINA:SIJATOA MIMBA

Posted by Williammalecela.com on Wednesday, November 12, 2014
 .Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick.
Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba ya staa huyo na wala katika maisha yake hajawahi kufanya kitendo hicho
“Jamani mimi ni mdogo, kwanza kwa nini watu wanapenda kunibebesha vitu vikubwa, mimi sijawahi kubeba wala kuchoropoa mimba katika maisha yangu,” alisema msichana huyo.
 
Meninah Atick akipozi.
Meninah alienda mbele zaidi na kusema maneno hayo yanaweza kuwapandisha hasira wapenzi wa Diamond na kumjengea nao chuki, wakati ukweli ni kwamba hajawahi kutoka na msanii huyo mwenye historia ya kutoka na wasichana wengi.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT