“Mimi nimeshakubali kuwa Bela ni msalaba wangu na ndiyo maana hata kama ananikosea vipi au mimi namkosea, tunaweka mambo sawa na maisha yanaendelea kama kawaida,” alisema Karama ambaye mshirika wake, Inspekta Haroun, juzikati aliadhimisha miaka kumi ya ndoa yake
.MKONGWE wa Bongo Fleva na mwanachama wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Karama ambaye ni mchumba wa aliyekuwa Miss Ruvuma miaka ya nyuma, Isabela Mpanda, amekiri kuwa bibie huyo ni msalaba wake, hivyo hata amkosee kiasi gani, hatamuacha. Wednesday, November 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment