Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi La Washington DC Virginia na Maryland Bi Salima Moshi akiwa na Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Mjumbe wa NEC CCM Taifa Chairperson for young Leader in Africa Mh Mboni Mhita siku ya Jumapili Novemba 9, 2014 walipokutana jijini Washington, DC kwa mazungumuzo, Mh Mboni Mhita atakutana na Wanachama Wa Chama Cha Mapinduzi siku ya JumamosiNov 15 saa 11jioni address 1801 saint george way Bowie 20721 tunaomba wote kuhudhuria
Tuesday, November 11, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.jpg)
.jpg)
0 comments:
Post a Comment