LEMUTUZ

Saturday, November 8, 2014

MAKAVU LIVE! MTOTO MZURI ESHE BUHETI WA BONGO MUVI AWAPA ZA USO MASTAA WENZAKE!

Posted by Williammalecela.com on Saturday, November 08, 2014
Eshe Buheti.Staa wa filamu za Kibongo, Eshe Buheti ameibuka na kuwananga mastaa wa kike waliobaki kwenye Kundi la Bongo Movie Unity kuwa hawajielewi na kazi yao ni majungu tu.Akistorisha Eshe alisema kuwa imefikia hatua baadhi ya wasanii hao hawasalimiani wanapokutana misibani kisa ni yeye kujitoa kwenye kundi, kituambacho haoni
kama kina tija.“Nawashangaa wasichana wenzangu naona hawajielewi tu ni kama vipofu kwani kwa ilipofikia mwisho tutapigana kwa sababu hata tukikutana misibani wananuna hiki ni kichekesho, mbona wakina Monalisa hawana kundi akina Riyama na wanafanya kazi kama kawaida? Badilikeni”, alisema Eshe pasipo kuwataja majina akidai wanajijua.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT