Tuesday, November 18, 2014

Mke wa Bw. Nabo Philipo, Mariana Thomas Silayo.
“Visa vilianza hivi karibuni baada ya mimi kupata hundi ya shilingi milioni 50 kupitia kazi zangu za ufundi wa kusuka mashine za magari, za kusaga na kukoboa na za matofari.“Nilimuonesha mke wangu hundi ili tupange tuzifanyie nini fedha hizo, lakini baada ya siku mbili hundi ikiwa benki kusubiri iwe tayari kutumika, nilianza kuumwa vitu visivyoeleweka na kuishiwa nguvu.

Bw. Nabo Philipo aliyekimbiwa na mkewe. HILI nalo ni tukio! Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Nabo Philipo ameibuka na kudai kuwa, mkewe Mariana Thomas Silayo (pichani) amekimbia nyumbani na kumwachia watoto wawili wenye ugonjwa wa kifafa.Akizungumza kwa uchungu na gazeti hili hivi karibuni, Nabo alisema alifunga ndoa na Mariana mwaka 2002 na kujaliwa kupata watoto wawili, Madelin na Joyce Nabo na ndani ya miaka 13 ya ndoa waliishi kwa amani SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment