Saturday, November 22, 2014
MAMBO HADHARANI! A-Z KUHUSU BILIONEA ALIYEKUFA AKIWA NDANI YA GARI BUKOBA!
Posted by Williammalecela.com on Saturday, November 22, 2014
Tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa akichunguzwa na daktari. Tukio hilo lililozua gumzo mjini Bukoba, lilitokea usiku Novemba 18, mwaka huuambapo imeelezwa kuwa marehemu ambaye ni baba wa familia, kabla ya kupatwa na umauti, alikutwa ndani ya gari yake aina ya IST lenye namba za usajili T. 982 CQG akifanya mapenzi na mchepuko wake aliyetajwa kwa jina la Jackline Hassan (25) maeneo ya Buyekere mjini Bukoba.
KIFO cha tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa (50) ambacho kimetingisha kanda nzima ya ziwa, kilichotokea dakika chache baada ya marehemu kudaiwa kufanya mapenzi ndani ya gari lake, sasa mambo hadharani juu ya kila kitu kilichotokea, \ mkanda mzima huu hapa.
Mwili wa marehemu, Leonard Mtensa ukitolewa hospitali ya mkoa wa Bukoba kupelekwa nyumbani kwake kuzikwa siku ya leo. TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini, siku ya tukio marehemu ambaye anamiliki Klabu ya Linas, alidaiwa kunywa pombe kali aina ya Whisky Bond pasipo kula vizurihuku akisumbuliwa na tatizo la presha hivyo wakati akifanya yake ndani ya gari, ghafla presha ilipanda, akaanza kutapatapa.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment