Monday, November 10, 2014

Waimbaji wenzake na marehemu Amigolas wakijadili utekelezaji wa mazishi ya mwenzao.MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki usiku wa kuamkia jana yatafanyika leo saa 9 alasiri katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Mama mzazi wa marehemu, Aisha Suleiman, akilia kwa uchungu.Mtoto wa marehemu, Sophia Khamisi akiwa amezimia msibani.Waombolezaji wakiwa msibani.
Waombolezaji wengine wakimfariji mke wa marehemu aliyelala(katikati).

0 comments:

Post a Comment