| Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi na viongozi wengine wa shule hiyo pindi alipotembelea mazingira ya shule. |
| Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi akitembelea bweni la wasichana katika shule hiyo. |
| Mh Mbatia akizungumza jambo mara baada ya kuingia katika chumba maalumu cha kujifunzia Komputa na kukuta bado shule hiyo wanatumia komputa zilizopitwa wakati. |
0 comments:
Post a Comment