LEMUTUZ

Monday, November 10, 2014

MCHEZO MCHAFU WA USAGAJI! ESHA BUHETI WA BONGO MUVI AJIAPIZA KIAPO CHA KIFO!

Posted by Williammalecela.com on Monday, November 10, 2014
Staa wa Bongo Movies, Esha Buheti. Akizungumza na mwandishi wetu, Esha alisema kuwa alishajiapiza kwa kutumia Msahafu ya kuwa kamwe hawezi kufanya tendo hilo akiamini kuwa liko kinyume kabisa na Mwenyezi Mungu.
STAA wa Bongo Movies, Esha Buheti amejiapiza kiapo cha kifo kwa kusema kuwa kama ipo siku atajaribu mchezo wa usagaji basi atakapomaliza tu litokee gari na kumkanyaga na kufa.
“Kwa kweli mimi nikifanya usagaji siku hiyo nikimaliza tu wakati natoka basi lije gari tena kubwa na kunigonga nife kabisa,” alisema Eshe.
Hivi karibuni vitendo vya kisagaji vimeshamiri kwa kasi huku mastaa wengi wa filamu wakitajwatajwa kujihusisha navyo.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT