Posted by Williammalecela.com on Wednesday, November 12, 2014
Aliyewahi
kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania Bw.Augustino Mrema (aliyeketi kwenye
stuli) akikaribishwa na mpambe wake ili aweze kuhutubia wananchi wake
wa Vunjo.. Mkutano huo uliofanyika eneo la Chekereni.
0 comments:
Post a Comment